hii ni kwa wale wote wanaowapa mimba wasichana na kuwakimbia, mnatakiwa kuacha tabia hiyo mara moja. Ebu jifikirie kama baba yako angempaujauzito mama yako alafu akamkimbia ungekua katika hali gani? na je? ungemfikiria vip baba yako? acheni hizo bhana!
No comments:
Post a Comment